NIT – Industrial Area, DSM info@talta.or.tz 0650 566 110
f𝕏◎in

Event

Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini 2026

Kuharakisha Usafiri Endelevu: Usafiri Salama, wa Kijani na Jumuishi

← All news & events Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini 2026

Mwanzo wa safari ya kijani

Mwaka 2025, kwa mara ya kwanza, Tanzania iliadhimisha Siku ya Usafiri Endelevu Duniani kwa wiki nzima ya mikutano, maonesho, ziara na tuzo. Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), aliifungua rasmi tarehe 26 Novemba 2025.