← All news & events
09 November 2026
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Lojistiki na Usafirishaji Tanzania (TALTA) Alphonce Mwingira, amebainisha hayo katika Kikao Kazi cha Pili kinachoendelea mkoani Morogoro, ambapo baadhi ya taasisi zimekuwa zikikosa wataalamu wenye ujuzi wa kusimamia vyombo vya usafiri, hali inayosababisha manunuzi ya vyombo hivyo mara kwa mara na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji.
Hatua hiyo inawaibua TALTA akiwemo Afisa Usafiri Mdhibiti TRC, Ramadhan Ngondae kuiomba serikali kuhakikisha inawaunganisha na wataalamu wa kuwapatia mafunzo na teknolojia za kisasa katika kuboresha ufanisi wa huduma za usafirishaji.